Jeshi la Uturuki lawaangamiza magaidi 54 kwa muda wa wiki moja Kaskazini mwa Irak

Magaidi 54 wa kundi la PKK waangamizwa na jeshi la Uturuki katika operesheni ilioendeshwa na jeshi Kaskzini mwa Irak

Jeshi la Uturuki lawaangamiza  magaidi 54 kwa muda wa wiki moja Kaskazini mwa Irak

Jeshi la Uturuki limewaangamiza magaidi 54 katika kipindi cha  wiki moja katika operesheni ilioendeshwa Kaskazini mwa Irak.

Jeshi la Uturuki limeendeshwa operesheni dhidi ya  wanamgambo wa kundi la PKK kuanzia  Septemba 7 hadi Septemba 13.

 


Tagi: Uturuki , PKK , Irak

Habari Zinazohusiana