Italia nayo yaanza operesheni dhidi ya PKK

Vikosi vya kupambana na ugaidi nchini Italia vimeanza operesheni dhidi ya magaidi wa PKK/YPG nchini humo.

Italia nayo yaanza operesheni dhidi ya PKK

Vikosi vya kupambana na ugaidi nchini Italia vimeanza operesheni dhidi ya magaidi wa PKK/YPG nchini humo.

Kwa mujibu  wa habari,msako umefanywa katika nyumba ya aliyetiliwa mashaka kuwa ni mwanachama wa PKK na kuchukua pasipoti yake.

Kulingana na kituo cha habari cha ANSA,raia watatu wa Italia wamefanyiwa msako kama huo katika kisiwa cha  Sardinia.

Kati ya washutumiwa huyo mmoja anaejulikana kwa jina al Pierluigi Caria amethibitishwa kuwa mwanachama wa kundi hilo.

Pierluigi Caria alikuwa amepanga kuelekea Iraq na Syria hivi karibuni.

Tagi: msako , PKK , Italia

Habari Zinazohusiana