Rais Erdoğan awasili nchini Azerbaijan kushiriki maadhimisho ya ukombozi wa Baku

Rais wa Uturuki awasili mjini Baku nchini Azerbaijan kushiriki katika maadhimisha ya ushindi wa Baku

Aliyev Il.jpg
Aliyev N.jpg

Rais wa Uturuki Recep Tayyıp Erdoğan awasili mjini Baku nchini Azerbaijan kushiriki katika hafla ya maadhimisho ya ukombozi  wa Baku.

Azerbaijan anaadhimisha Jumamosi Septemba 15  miaka 100 ya ukombozi  wa Baku.

Rais Erdoğan amepokelewa  uwanja wa ndege  wa Haydar Aliyev  na  makamu wa rais Yagub Eyyubov.

Waziri wa ulinzi wa Uturuki Hulusi Akar ameshirikiana na rais Erdoğan katika ziara yake nchini Azerbaijani. 

Mji wa Baku  ulikombolewa na jeshi la kiislamu la Caucasus Septemba 15 mwaka 1918 ambalo lilikuwa  linaundwa na  wanajeshi wa Uturuki na Azerbaijani.

 Habari Zinazohusiana