Ndege za Israel zashambulia ngome ya Hamas ukanda wa Gaza

Ndege za kijeshi la Israel zimeshambulia ngome ya ya Hamas mashariki mwa mpaka wa Gaza.

Ndege  za Israel zashambulia ngome ya Hamas ukanda wa Gaza

Ndege za kijeshi la Israel zimeshambulia ngome ya ya Hamas mashariki mwa mpaka wa Gaza.

Hakuna aliyeripotiwa kupoteza maisha katika shambulizi hilo.

Katika tukio jingine,wapalestina watatu akiwemo mtoto wamepoteza maisha na wengine 80 kujeruhiwa baada ya jeshi la Israel kufanya mashambulizi katika eneo la Gaza na Israel.

Wapalestina wameendeela na maandamano yao kupinga utawala wa Israel.

Wamekuwa wakiandamana toka 30 Machi wakitaka haki ya kurudi katika ardhi yao iliyokaliwa kimabavu na Israel toka 1948.

Idadi kubwa ya wapalestina wamepoteza maisha toka kuanze kwa maandamano hayo.Habari Zinazohusiana