Marekani kuiongezea ushuru China

Marekani ina mpango wa kuongeza ushuru kwa bidhaa zinazotoka China,hali itakayoleta mtafaruku mkubwa kwa biashara ya kimataifa.

Marekani kuiongezea ushuru China

Marekani ina mpango wa kuongeza ushuru kwa bidhaa zinazotoka China,hali itakayoleta mtafaruku mkubwa kwa biashara ya kimataifa.

Kwa mujibu wa havari, Marekani itaongeza kiasi cha $200 billioni kwa bidhaa zinazoingizwa Marekani kutoka China.

Trump amezungumza hayo na viongozi mbalimbali akiwemo waziri wa fedha Steven Mnuchin.

Donald Trump amechukua uamuzi huo licha ya Washington kumtaka aanze mahusiano mazuri ya kibiashara na Beijing.Habari Zinazohusiana