Urusi na Japan zasaini mkataba wa amani

Rais Vladimir Putin amesaini mkataba wa amani na waziri mkuu wa Japan Shinzo Nabe.

Urusi na Japan zasaini mkataba wa amani

Rais Vladimir Putin amesaini mkataba wa amani na waziri mkuu wa Japan Shinzo Nabe.

Kwa mujibu wa habari,mkataba kati ya nchi hizo mbili umesainiwa ili kufutilia mbali tofauti kati ya Japan na Urusi.

Nchi hizo zimekuwa zikizozana kuhusu visiwa vya Kuril baada ya vita vya pili vya dunia.

Akizungumza katika mkutano wa kiuchumi Vladivostok,Putin amesema kuwa mkataba huo utakua ni chanzo cha makubaliano kati ya Japan na Urusi.

Nchi hizo mbili zimekuwa zikifanya mazungumzo juu ya visiwa kwa muda wa miaka sabini sasa.


Tagi: amani , mkataba , Urusi , Japan , Putin

Habari Zinazohusiana