Wito wa msemaji wa rais kuhusu mashambulizi Idlib Syria

Msamaji wa rais wa Uturuki na mashambulizi dhidi ya Idlib nchini Syria

Wito wa msemaji wa rais kuhusu  mashambulizi Idlib Syria

Msemaji wa ikulu mjini Ankara Ibrahim Kalın asema kuwa mashambulizi dhidi ya eneo la Idlib nchini Syria  ni kizuizi ambacho kitakuwa kikilenga  hatua za kisiasa  ambazo tayari zimefikiwa.

Mashambulizi dhidi ya eneo  la Idlib  yatasababisha  madhara  katika ukanda mzima na kuondoa  uaminifa kati ya washirika.

Msemaji wa ikulu ameyazungumza hayo baada ya mkutano wa baraza la mawaziri kumalizika.

Ibrahim Kalın baada ya mkutano huo wa barza la  mawaziri ametolea wito jumuiya  ya kimataifa ikiwema Marekani na mataifa katika ukanda  kusitisha mashambulizi Idlib na kulipatia ufumbuzi suala hilo.

Katika wito wake huo, Ibrahim Kalın amesema kuwa  shambulizi la aina yeyote  Idlib litapelekea  mazara na   hatua iliokwisha pigwa kuambukia katupu.Habari Zinazohusiana