Uingereza yakubaliana na  kauli za rais wa Uturuki katika jarida la "Wall Street Journal"

Uingereza yafahamisha kukubaliana na kauli za rais wa Uturuki Recep Tayyıp Erdoğan katika jarida la Wall Street Journal

BM.jpg

Uingereza yafahamisha kukubaliana na kauli za rais wa Uturuki Recep Tayyıp Erdoğan katika jarida la Wall Street Journal.

Uingereza yafahamisha kuwa inakubaliana na kauli   ya rais wa Uturuki Recep Tayyıp Erdoğan zilizotolewa katika makala maalumu iliotolewa na jarida la Wall Street Journal  kuhusu Idlib.

Muakilishi wa Uingereza Umoja wa Mataifa  Karen Pierce  katika baraza la usalama  Jumanne amesema kuwa  Uingereza inakubaliana na rais wa Uturuki   kuhusu Idlib. 

Rais wa Uturuki kuhusu Idlib amesema kuwa   suluhu  la amani  Idlib ni mazungumzo .

Hayo  yalifahamishwa na muakilish wa Uingereza katika mkutano uliofanyika Jumanne kuhusu  Idlib. Mkutano huo ulifanyika baada ya kufanyika kwa mkutano  kati ya Uturuki, Urusi na Iran kuhusu Syria mjini Tehran.

Kwa  mujibu wa Karen, unyama  wa jeshi la Syria, Urusi na Iran unaonesha kwa zaidi ya miaka 6 kuwa mapambano  dhidi ya ugaidi  ni kizingishio ba ugaidi ni matokeo  yak ile ambacho kinaendelea nchini humo.

Karen ameendelea kusema kuwa Uingereza inakubaliana na makala iliomnukuu rais wa Uturuki kuhusu Idlib.

Katika makala hiyo, rais wa Uturuki inaitolea wito Marekani kuchukuwa hatua zinazostahili.Habari Zinazohusiana