Machafuko ya hali ya hewa Umoja wa Ulaya

Utafiti umeonyesha kuwa machafuko ya hali ya hewa yamepelekea wananchi kupoteza maisha mapema katika nchi za Umoja wa Ulaya.

Machafuko ya hali ya hewa Umoja wa Ulaya

Utafiti umeonyesha kuwa machafuko ya hali ya hewa yamepelekea wananchi kupoteza maisha mapema katika nchi za Umoja wa Ulaya.

Watu takriban 400,000 hufariki mapema kila mwaka kwasababu ya hali ya hewa mbovu katika nchi za Umoja wa Ulaya.

Licha ya tatizo hilo,bunge la Umoja wa Ulaya limeshindwa kutafuta ufumbuzi.

Kiasi kikubwa cha fedha hutumika kila mwaka katika matibabu ya watu walioathiriwa na hali ya hewa mbovu.

Baadhi ya ripoti zimeonyesha kuwa hali ya hewa ilichafuliwa miaka 20 iliyopita na athari zake zinaonekana sasa.Habari Zinazohusiana