Watu 45 wafariki katika ajali Telangana nchini India
Basi la abiria lafanya ajali na kusababisha vifo vya watu 45 India

Basi la abiria lafanya ajali na kusababisha vifo vya watu 45 India.
Watu 45 wameripotiwa kufariki katika ajali ya basi iliotokea Kusini mwa Telangana nchini India.
Taarifa zinafahamisha kuwa basi hilo lililkuwa likiwasafirisha watu waliokuwa wkijielekeza kfanya ibada.