Watu 19 wauawa katika shambulizi la kujitoa muhanga Afghanistani

Watu 19 wameuawa  katika shambulizi la kujitoa muhanga  nchini Afghanistan

Watu 19 wauawa katika shambulizi la kujitoa muhanga Afghanistani

Msemaji wa  wa gavana wa  Nangarhar Ataullah Hogyani amesema kuwa   mtu mmoja  aliekuwa katika maandamano amejitoa muhanga na kusababisha  vifo vya watu 19 na kuwajeruhi wengine 57.

Maandamano yaliokuwa yakifanyika katika eneo hilo , waandamanaji walikuwa  wakikemea mwenendo wa vikosi vya usalama  ambayo vinawanyanyasa wakaazi katika maeneo tofauti katika eneo hilo.Habari Zinazohusiana