Fundo la Idlib

Kutoka katika kitengo cha utafiti wa kisiasa, kiuchumi na kijamii SETA Can ACUN anatafafanulia

Fundo la Idlib

Tunafahamau ya kwamba mzozo wa Syria ameanzatangu mwaka 2011 na eneo la Idlib imekuwa  eneo ambalo lilifahamika kwa kias kikubwa katika kipindi chote cha mgogoro nchini humo.  Eneo la Idlib amekuwa eneo ambalo likitumiwa na wipnzani wa serikali ya Assad.  Eneo hilo linafahamikwa kwa kuwa na wakaazi kutoka jamii  ya waturkme Kakazini mwa Lazkiya na Kuisini mwa Aleppo.

Eneo hilo lşnafahamka vema kutokana na kwamba ndio eneo ambalo lililkuwa kama makao makuu ya wapindani wa serikali ya Assad nchini Syria. Baada ya kupoteza ushawishi wake upinzani katika maeneo laöa Aleppo, Mashariki mwa Ghuta, Kaskazini mwa Homs , wapinzani waliongeza bidii Idlib na kutaka kuwa eneo hilo liwe milki yao au kulitumia eneo hilo kama  ngome yao.

Mazungumzo kwa ajil ya kurejesha amnai nchini Syria  yamefanyika mara kadhaa mjiini Astana, Watu zaidi ya  milioin 3  wamelazimka kuyahama makaazi yao wakihofia usalama wao. Uturuki, Urusi na Iran ni mataifa ambayo yamechukuwa ukumu la kuzungumza  kwa lengo la kurejesha amani nchini humo.  Mataifa hayo yameweka vituo zaidi ya 12 kwa ajili ya kulinda usalama katika  ukanda huo unatambulika kwa mashambulizi.

 Kutoka katika kitengo cha utafiti wa kisiasa, kiuchumi na kijamii SETA Can ACUN anatafafanulia

Wapinzani wa serikali ya Syria Idlib  huwa mara kwa mara wakipapuza.  Wapinzani hao wameonekana wakipapuza kutokana na utofauti  wa kimatazamo na fikra.

Tunaweza kuzungumzia  makundi mawili  ambayo yanashuhudiwa Idlib. Kundi kundi ambalo linatambulika kama kundi la wanaharakati wa  uhuru wa Syria .  kuna kundi moa pia ambalo ni kundi la kşgaidi ambalo linaungwa mkono na Marekani huku kundi lingine likionekana kuungwa mkono na Uturuki katika harakati zake.

Mazaungumzo ya Asatna yalitakiwa kukutanisha makundi yote ambayo yanahusika katika mzozo wa Syria.  Miongoni mwa makundş hayo ya wanaharakati nchini Syria kuna makundi mbayo yana misimamo mikali na pia kuna makundi ambayo  yana misimamo ya wastani. Uturuki imeoneakana kuwa katika harakati za kutaka kuyaondoa makundi hayo  kwa mbinu za kisiasa. Serikali ya Syria na jeshi lake imetuhumiwa mara kwa mara kuwa ikishambuliia eneo hilo la İdlib licha ya kusainiwa makubaiano ya kusitisha mapigano.

Mazungumzo ya Astana ndio amzungumzo ambayo yalipelekea kusainiwa kwa  kusitishwa mapigano. Mapigano İdlib ni tishio kwa usalama wa Uturuki. Muakilishi wa Umoja wa Mataifa Steffan de Mistura amezungumz kuhusu hali inayoendelea Mashariki mwa Ghuta na kusema kuwa İdlib hali itakuwa mbaya mara  dufu.  Uturui iliendesha operesheni  ya Afrin kwa lengo la kuwaondoa magaidi waliokuwa katika maeneo ya mipakani mwa Uturuki na Syria. Maeneo mengine ambayo Uturuki ilijaribu kuwaondoa magaidi ni Jarabluz, al bab  na maeneo mengine.

Uturuki  na Urusi mara kwa mara zimezungumzia uwezekana wa kuendesha mashambulizi na kuzungumzia pia athari zake.

Mashambulizi ya anag yaliokuwa yakiendesha katika maeneo tofauti nchini Syria yamepelekea hali ya sintofahamu katika ukanda mzima  na eneo hilo kuwa eneo kama uwanja wa mapigano.  Hali hiyo imeondoa  imani iliokuwepo katika makubaliano ya Astana yaliosainiwa kati ya pande zilizokuwa zikiasimiana.

Inaonekana kuwa  jeshi la Syria jhalina uwezo wa kukabilkaina ipasavya na  makundi ya wapinzani katika jimbo la Idlib jambo hilo linaonesha kuwa Syria  inategemea msaada kutoka Urusi ili kufiki a katika malengo ya kuwaondoa wapinzani hao. Syria  inategemea usaidizi kutoka Urusi. Uamuzi ambao utachukuliwa na serikali ya Syria kuhusu jimbo la Idlib  hautopasishwa bila ya  URusi na Iran kushirikishwa.  Uamuzi  wa seriakli ya Syria kushambulia Idlib utatokana na uungwaji mkono wa  Urusi.

 Watu zaidi ya miliaoni 3 katika eneo hilo watakuwa katika madhila kutokana na mashambulizi hivyo basi kunahitajika  uhudi za mazungumzo ili kuhakikisha kuwa janga kubwa  Idlib  linaepukwa.  Kufuatia mashambulizi ya anga katika eneo hilo yanayotokea Idlib ,  Uturuki na Urusi  zinafanyajitihada    ili kuzuia mashambuliz ya anga ambayo yanalenga jimbo hilo ambalo raia ndio wanaoathirika. Uturuki  malengo yake ni kuhakikisha kuwa  mzozo huo unapatiwa suluhus la kidiplomasia.

Makundi yenye misimamo mikali yanatakiwa kupunguza uwepo wao Idlib na kufuata mapendekezo yaliotolewa na Urusi .

Kwa kiasi kikubwa tunafahamu umuhimu wa mazungumzo ya Astana kwa ajili ya amnai nchini Syria na kusitishwa moja kwa moja kwa mapigano İdlib na meoneo mengine ambayo raia wanataabika nchini Syria.

Serikali na jeshi la Syria linatakiwa kusitisha mashambulizi yake katika maeneo hayo ambayo serikali inatuhumu kuwa na uasi dhidi ya utawala.  Jeshi la Syria na washirika wake hushambulia  w raia kwa kisizio kuwa katika maeneo hayo kunapatikana wanachama wa kundi la kigaidi.

Malengo kwa utawala kuendesha mashambulizi hayo ni kudhoofisha upinzani  Idlib . Harakati za katiba mpya  lazima zizungumzwe na kuendelea kujadiliwa katika mikutano kama mkutano wa Astana na Sochi. Kama ilivyo Uturuki katika mapambano dhidi ya kundi la kigaidi la PKK na tawi lake la YPG  ni kwa kuwa kundi hilo malengo yake  pia ni kuzuia  suluhu kunako mzozo wa Syria.

 Kutoka katika kitengo cha utafiti wa kisiasa, kiuchumi na kijamii SETA Can ACUN ametufafanuliaHabari Zinazohusiana