Rais wa Uturuki azungumza na amir wa Qatar kuhusu ushirikinao kati ya mataifa hayo mawili

Rais wa Uturuki Recep Tayyıp Erdoğan azungumza kwa njia ya simu na amir wa Qatar kuhusu ushirikina kati ya mataifa hayo mawili

Rais wa Uturuki azungumza na amir wa Qatar kuhusu ushirikinao kati ya mataifa hayo mawili

 

Rais wa Uturuki amezungumza na amir wa Qatar Tamim bin Hamed Al Thani kwa njia ya simu kuhusu ushirikiano uliopo kati ya Uturuki na Qatar.

Katika mazungumzo yao  wamezungumzia pia hali  masula tofauti ya kikanda .

Taarifa zilizotolewa baada ya mazungumzo baina  ya viongozi hao wawili  zimefahamisha kuwa  mataifa hayo mawili  yataendelea kuimarisha ushirikiano katika sekta tofauti.Habari Zinazohusiana