Waziri wa mambo ya nje wa Urusi kufanya ziara rasmi nchini Uturuki

Waziri wa mambo ya nje wa Urusi Serguie Lavrov atarajwa kufanya ziara nchini Uturuki

Waziri wa mambo ya nje wa Urusi kufanya ziara rasmi nchini Uturuki


Waziri wa mambo ya nje wa Urusi Serguei Lavrov atarajiwa kufanya ziara nchini Uturuki kuanzia  Agosti 13  hadi Agosti 14.

Lavrov atashiki katika mkutano wa 10 wa mabalozi tofauti waliopo nchini Uturki.

Katika zşara hiyo, waziri wa mambo ya nje wa  Urusi atazungumza kuhusu ushirikiano katia ya Uturuki na Urusi .

Suala zima kuhusu hali inayoendelea nchini Syria  zştazungumzwa pia katika mkutano huo.Habari Zinazohusiana