Vyombo vya habari nchini Marekani vyakemea uamuzi wa rais Trump dhidi ya Uturuki

Vyombo vya habari nchini Marekani vyakemea uamuzi wa rais Donald Trump uliochukuliwa dhidi Uturuki

Vyombo vya habari nchini Marekani vyakemea uamuzi wa rais Trump dhidi ya Uturuki

 

Vyombo vya habari nchini Marekani vyakemea uamuzi  uliochukuliwa na rais Donald Trump dhidi ya Uturuki kwa kusema kuwa uamuzi huo hauna misingi yeyote ile ya kisheria.

Uamuzi wa rais wa Marekani kuiwekea Uturuki kodi ya ziada umepelekea mjadala katika vyombo vya habari nchini Marekani.

Vyombo vya habari nchini Marekani vimekemea uamzui huo wa rais Trump dhidi ya Uturuki  kwa kuesema kuwa uamuzi uliochukuliwa haina misingi yeyote ya kisheria .

Sera za nje za uangozi wa Trump nchini Marekani  kuichukulia pia Urusi vikwazo  zilikemewa . Jarida la New Yorker ambalo  ni miongoni mwa majiradi muhimu na yanayosomwa na watu wengi Marekani limeandika makala ambayo inakemea uamuzi huo wa rais wa Marekani dhidi ya Uturuki.

Makala hiyo ilioandikwa na Eric Levitz  imeasema kuwa  uamuzi wa Trump dhidi ya Uturuki hauna misingi yeyote ya kisheria ni unawaweka  wazalisha wa Marekani katika kipindi kigumu.

Kituo cha CNN kwa upande wake  kimefahamisha kuwa usalama wa Marekani na uamuzi wa vikwazo hivyo haukufafanuliwa.

Jarida la Washington Post nalo limefahamisha kuwa vikwazo hivyo havitosaidia lolote bali  kuharibu ushirikiano uliopo baina ya Uturuki na Marekani.

 

 Habari Zinazohusiana