Ndege ya Indonesia yapata ajali Papua

Ndege ya Indonesia imeanguka na kusababisha vifo vya watu nane Papua.

Ndege ya Indonesia yapata ajali Papua

Ndege ya Indonesia imeanguka na kusababisha vifo vya watu nane Papua.

Kwa mujibu wa habar,,ndege hiyo imeanguka karibu na uwanja wa ndege wa Oksibil Papua ambapo ilikuwa inatarajia kutua.

Abiria wote wamepoteza maisha isipokuwa mtoto wa miaka 12 aliyepatwa na majeraha makubwa.Habari Zinazohusiana