Maelfu waandamana kupinga sheria ya "Taifa la Wayahudi" Tel Aviv

Maelfu ya wananchi wameandamana kupinga sheria iliyopitishwa ya "Taifa la Wayahudi",katika mji mkuu wa Tel Aviv nchini Israel.

Maelfu waandamana kupinga sheria ya "Taifa la Wayahudi" Tel Aviv

Maelfu ya wananchi wameandamana kupinga sheria iliyopitishwa ya "Taifa la Wayahudi",katika mji mkuu wa Tel Aviv nchini Israel.

Waandamanaji hao ni waarabu wenye uraia wa Israel.

Kamati ya waarabu inayowawakilisha raia wa Palestina wanaioishi Israel imeitisha maandamano hayo baada ya bunge la Israel kupitisha sheria mpya inayoidhinisha taifa  la Israel kuwa la Kiyahudi na kupunguza ya kiarabu kama lugha rasmi.

Wabunge wa kiarabu wa Israel wameshiriki katika manadamano kuipinga sheria hiyo.

Sheria hiyo pia inautambua mji wa Yerusalemu kama mji mkuu wa Israel.Habari Zinazohusiana