Mashambulizi ya anga yasababisha vifo vya watu 25 Idlib

Mashambulizi ya anga yamesababisha vifo vya watu 25 Idlib nchini Syria

Mashambulizi ya anga yasababisha vifo vya watu 25 Idlib

Mashambulizi ya anga yamesababisha vifo vya watu 25 Idlib nchini Syria.

Kwa mujibu wa habari,mashambulizi hayo yamefanywa katika maeneo yanayotawaliwa na upinzani.

Serikali ya Assad na majeshi ya Urusi vimeshirikiana katika mashambulizi hayoo.

Watu 20 wameripotiwa kuuawa Urum al Kubra karibu na Aleppo na wengine watano wameuawa karibu na wilaya ya Khan Shaykhun.

Syria imekuwa katika machafuko toka 2011.Habari Zinazohusiana