Helikopta yaanguka Japan

Helikopta imeanguka katika milima na kusababisha vifo vya watu tisa mashariki mwa Japan

Helikopta yaanguka Japan

Helikopta imeanguka katika milima na kusababisha vifo vya watu tisa mashariki mwa Japan.

Ajali hiyo imetokea katika mpaka wa Gunma na Nagano.

Walioshuhudia wamesema kuwa helikopta hiyo ilikuwa ikitoa sauti za jabu na kupaa katika kiwango cha chini kabisa.

Hata hivyo sababu hasa ya kuanguka kwa helikopta hiyo haijajulikana.Habari Zinazohusiana