Hatice Arafat, dada wa Yasser Arafat aaga dunia

Hatice Arafat, dada wa kiongozi wa kihistoria wa mamlaka ya wapalestina Yasser Arafat aaga dunia

Hatice Arafat.jpg
yaser arafat.jpgDada wa kiongozi wa kihistoria wa mamlaka ya wapalestiana  Yaser Arafat Bi Hatice Arafat ameaga dunia akiwa na umri wa miaka 86.

Ubalozi wa Mamlaka ya wapalestina mjini Cairo nchini Misri umetoa taarifa hiyo ya kifo bila ya kutoa  taarifa zaidi. Bi Hatice Arafat alikuwa akitibiwa nchini Misri.

Hatice Arafat alikuwa akishirikiana na mashirika ya misaada kwa ajili ya wapalestina tangu mwaka 1994.Habari Zinazohusiana