Shambulizi la kujitoa muhanga Afghanistan

Shambulizi la kujitoa muhanga limesababisha vifo vya watu wanne nchini Afghanistan.

Shambulizi la kujitoa muhanga Afghanistan

Shambulizi la kujitoa muhanga limesababisha vifo vya watu wanne nchini Afghanistan.

Mlipuko huo umetokea Herat katikati ya watu wengi.

Gavana wa Herat,Ceylan Ferhad amesema kuwa watu wengine 12 wamejeruhiwa vibaya katika mlipuko huo.

Hakuna kundi lolote lililotangaza kuhusika an shambulizi hilo.Habari Zinazohusiana