Maporomoko ya ardhi yasababisha vifo vya watu 26 India

Maporomoko ya ardhi yamesababisha vifo vya  watu 26 nchini India.

Maporomoko ya ardhi yasababisha vifo vya watu 26 India

Maporomoko ya ardhi yamesababisha vifo vya  watu 26 nchini India.

Mvua kubwa katika jimbo la Kerala zimesababisha kutokea kwa maporomoko hayo.

Mkutano wa dharura unatarajia kufanyika kujadili hali mbaya katika jimbo hilo.

Utabiri wa hali ya hewa umeonyesha kuwa hakuna dalili za kukatika kwa mvua hizo.Habari Zinazohusiana