Jeshi la Uturuki lashambulia ngome za kundi la PKK Kaskazini mwa Irak

Jeshi la anga la Uturuki lashambulia ngome za kumbe la kigaidi la PKK katika operesheni yake Kaskazini mwa Irak

Jeshi la Uturuki lashambulia ngome za kundi la PKK Kaskazini mwa Irak

Jeshi la anga la Uturuki lashambulia ngome za kundi la kigaidi la PKK katika operesheni  ilioendeshwa Kaskazini  mwa Irak.

Katika operesheni hiyo  maficho ya silaha na ngome za  magaidi wa kundi hilo zimeshambuliwa  na jeshi la anga la Uturuki.

Taarifa kuhusu  operesheni hiyo imetolewa na makao makuu ya jeshi la Uturuki.

Taarifa hiyo imeendelea kufahamisha kuwa operesheni hiyo ililenga ngome za kundi la PKK Qandil na eneo la Kaskazini mwa Irak.

Jeshi la Uturuki lilifahamisha kuendelea na operesheni dhidi ya ugaidi hadi kutakapo hakikishwa kuwa  hakuna gaidi hata mmoja katika mipaka ya Uturuki.

 


Tagi: PKK , ugaidi , Irak , Utıuruki

Habari Zinazohusiana