Trump , Putin na mkutano wa Helsinki

Kutoka katika kituo cha utafiti wa kisiasa, kiuchumi na jamii SETA, mtafiti Can ACUN anatufafanulia

Trump , Putin na mkutano wa Helsinki

Rais wa Marekani Donald Trump  alikutana na rais wa Urusi Valdimir Putin  mjiini Helsingi katika mkutano wao ambao ulikuwa ukisubiriwa kwa hamu kubwa.  Mkutano huo umeonekana kufanyika baada ya  hali ya vuta ni kuvuti  kukithiri  kisiasa baina ya Marekani na Urusi.

Katika mkutano wao viongozi hao walizungumzia kuhusu  silaha za nyuklia, kuingiliwa katika uchaguzi mkuu  wa Marekani ambapo Urusi inatuhumiwa kudukuwa  zoezi la uchaguzi hupo. Vile vile  sula la  nishati  na mzozo wa Syria  na suala zima  kuhusu Syria  lilizungumziwa.

Finland ndio taifa ambalo lilichaguliwa kufanyka mkutano huo kwa kuwa taifa hilo  halikuwa likiegamia upande wowote wakati wa vita baridi baina ya Marelkani na  mataifa ya muungano wa kisovieti.

Kutoka katika kituo cha utafiti wa kisiasa, kiuchumi na jamii SETA, mtafiti Can ACUN anatufafanulia kipindi chetu

Rais wa Marekani Donald Trump amekutana na rais wa Urusi Vladimir Putin  kufuatia masuala hayo ambayo yalionekana mataifa hayo hayana budi kuzungumza nchini Finland. Mkutano na mazungumzo baina ya viongozi hao wawili hayakuwa na umuhimu kwa mataifa hayo mawili pekee   bali kwa ulimwengu  mzima.

Baada ya mazungumzo ambayo yalifuatiwa na vyombo vya habari viongozi hao  walitoa tamko kwa waandishi wa habari . katika tamko hilo rais wa Marekani alikemea baadhi  ya vyombo vya  habari vya Marekani ns wanasiasa nchini humo.   Rais Trump amezungumzia Urusi kuigilia uchaguzi wa Marekani. Mazungumzo ya rais wa Marekani kuhusu kuhusu Urusi yaliibua mjadala.

Licha ya kuwa  Marekani haikuzungumzia  ipasavyo mazungumzo na makuanlaino baina ya Trump na Putin  kuhusu  masuala muhimu ya kimkakati kisiasa  tunawewa kusema kuwa  mazungumzo yaliokuwa na umuhimu mkubwa na maafikiano kuhsu China.  

Vile vile kulizungumzaiwa suala muhimu kuhusu Syria katika mkutano huo uliofanyika mjini Helsinki, kulizungumziwa kuhusu Syria na hali inayoendelea nchini humo.  Hali ya Marekani na uwepo wa Urusi nchini Syria hususani kusini mwa Syria.  Kulizungumziwa kuhusu usalama wa Israel na uwepo wa Israel  Kusini mwa Syria.

Vladimir Putin alifahamisha kuwa kuna uwezekano  kufikia katika maelewano na makubaliano chini ya misingi iliowekwa mwaka 1974 katia ya seriakli ya Syria na Israel.

Rais wa Marekani Donald Trump  amefahamisha kuwa  Marekanihaitokubali wala kuridhishwa na uwepo wa Iran  katika ardhi ya Syria. 

Licha ya kufahamşsha hi  hayo, rais wa Marekani hakutoa  pendekezo lolote   kuhusu hatua ambazo zinawezakuchukuliwa  dhidi ya Iran kuhusu Syria.

 Mkutano bain aya rais wa Marekani na rais wa Urusi Vladimri Putin umefanyika  baada ya mkutano wa jeshi la Magharibi la kujihami la NATO. Katika mkutano wa NATO rais wa Marekani işmetuhumu Ujerumani kuwa tegemezi  katika nishati na mradi wa   Akim ya pili Urusi. Hayo Trump  ameyafahamisha na kuyazungumza kwa waandishi wa habari mjini Helsinki nchini Finland.

 Rais wa Urusi  alizungumzia pia kuhusu bei na biashara ya gesi asilia  katika soko la kimataifa.  Kutokana na kwamba uchumi wa Urusi  unategemea pia  mauzo ya nje ya gesi asilia na soko la nishati . Bei ya gesi  katika soko la kimataifa  inaathiri moja kwa moja  uchumi wa Urusi.

Suaş lingine muhimu ambalo lilizungumziwa katika mkutano wa Helsinki lilikuwa ni suala zima la silaha za nyuklia.  Urusi na Marekani  ndio mataifa ulimwenguni ambayo yanamiliki asilimia 90 ya silaha za nyuklia.

Katika mazungumzo yao viongozi hao ewalizungumzia kuhusu malengo waliojipa ya kutaka kupunguza  silaha za nyuklia ulimwenguni. 

Katika mkutano huo kulizungumziwa kuhusu masuala tofauti kuhusu ushirikiano baina ya Urusi na Marekani.

Kutoka katika kituo cha utafiti wa kisiasa, kiuchumi na jamii SETA, mtafiti Can ACUN anatufafanulia kipindi chetuHabari Zinazohusiana