Misimamo mitatu tofauti dhidi ya ulimwengu wa Magharibi

Uchambuzi kutoka kwa Profesa Dakatari Kudret BÜLBÜL katika chuo kikuu cha Ankara Yıldrım Beyazit kitengo cha siasa

Misimamo mitatu tofauti dhidi ya ulimwengu wa Magharibi

Katika kipindi cha mika 200 iliopita  mitazamo tofauti  kuhusu ulimwengu wa Magharibi  iliweza kuzungumziwa na kujadiliwa hasa  katika kipindi cha mwisho cha uawala wa Dola ya Ottoman ilikuwa pia kipindi cha Jamhuri.

 Suala hilo  lilikuwa likizungumzia  na wasomi katika kipindi hicho hadi keo.  Mijadala  iliandaliwa  na mda hiyo kuzungumziwa  pia kuhusu mabadiliko  ambayo yalatambuliwa kama Tanzimat.  Ustaarabu wa Magharibi, Umoja wa Ulaya na nyakati za mwisho wa " ulimwengu kijiji kimoja" ni moja ya muendelezo wa mjadala  kuhusu Magharibi.

Wasomi katika kipindi cha mwisho cha utawla wa Dola ya Ottoman  walikuwa na vipengele au mştazamo mştatu muhimu kkuhusu Magharibi na utamaduni au ustaarabu wa Magharibi.  Mfano uliohai  ni kile ambacho kingeweza kuchukuliwa kama  umiliki wa  jarida la Ictihad, Abdullah Cevdet . 

Kunadaiwa kuwa kuna ustaarabu mmoja ambao ni  ustaarabu wa Magharibi.  Kunafahamishwa kuwa  kukubalika kwake  ni muhimu na kişnyume chake ni kutoeka kwetu.

 tunaweza pia kuzungumza kuhusu chuki au kutokukubali. Suala hilo  linapigana na wote wanaoamini kuwa  Magharibi ndio  kitovu cha maovu yote.  Ya tatu ni kuwa na nidhamu na uhakika. Saual hlo halipuuzi  harakati na ubepari za Magharibi. Suala hilo linazungumzia na kuangalia kwa makini utiifu na kupingwa.  Hasira tuliyonayo  dhidi ya Magharibi inatufanya kushindwa kuona  upande wake mzuri uliokuwa na manufaa kwetu na kushindwa pia kuona makosa yatu.  Hayo tanayashuhudia katika  matamshi yaliotolewa kwa waziri  mkuu wa zamani wakati wa Utawala wa Dola ya Ottoman na vita vya kwanza vya dunia Said Halim Pash. Licha ya yote yalitokea katika kipindi hicho  alifahamisha kuwa Magharibi na Mashariki  kunatakiwa kuishi  pamoja na kuheshimiana,  alisema kuwa kwa mtazamo wake Ulimwengu wa Magharibi sio muhusika pekee  katika hali iliokuepo katika ya Magharibi na ulimwengu wa Mashariki na kusema kuwa Mashariki pia inahusika kwa upande mmoja au mwingine. 

Uliandika  kştabu ambacho kilipewa jina la  Taassub  ambacho kilizungumzia kuhusu mawazo na fikra mabzo  ni vizuizi  katika ushiirikinao ambao haukuwa na budi baina ya  Magharibi na Mashariki kushirikiana . Ulimwengu wa Magharibi na Ulimwengu wa Mashariki haunabudi kushirikiana. Kuliko kuwa na chuki ni bora kushirikiana katika haki na usawa.

Msimamo  mbya na madhara yake 

Kama ilivyofahamishwa hapo awali mjadala bado upo  na unaoneakan kuwa na manufaa na kushamiri kwa sasa.  Hatua za kijiji kimoja  zimepelekea  Mashariki, Magharibi , Kusini na Kaskazini ki mkakati kuwa kama haieleweki. 

 

 Hakuna taifa au utamaduni ambao umenusrika na utawaduni mwingine kwas asa ulimwenguni kwa  tamaduni zimeingiliana  na hakuna utamaduni ambao unajitosheleza bila ya  ushirikinao na tamaduni nyingine.

Tunashuhudia mamiliano ya wahamiaji, waislamu miongoni mwa wanaoishi barani Ulaya.  Tuweke kando  maamuzi ya jamii ambazo  hazipo Magharibi, kijeiografia.  Tunaweza kuendelea na mjadala na  tukişzingatia jamii ambazo zinapatikana katika matafa tofauti barani  Ulaya au Magharibi.  Suala hilo linaweza kuzungumziwa vema  tukiangazia wahamiaji na waislamu wanaoshi katika jamii tofauti Magharibi jamabo ambalo litapelekea kuelea na kuona  uhalisia na athari  ambazo zinasababishwa na  uamuzi ambao huonekana kuwa uamuzi usiofaa.

Wahamiaji na waislamu  wanaoishi katika mataifa tofauti Magharibi huwa  mara kwa mara wakifuata utamaduni au kuutupilia kama ilivyofahamishwa na wasomi katika kipindi cha utawala wa dola ya Ottoman.  Watu na  misimamo mikali  ya ushirikiano au kipinga  kutokan a na  kuhisi kwao kuwa wameshindwa.

Katika mataifa kama Australia, Canda na Marekani, utofauti wa kitamaduni  na asili  una uhuru wake mkubwa.  Kutokana na hali hiyo waislamu na wageni aua wahamiaji  wanaonekana kutoakuwa na tatizololote lile na huwa hawana jazba pindi kunapotokeajambo katika jamii.

Kunashuhudiwa Ulaya  mbinu za  kuingia katika utamaduni na mbinu nyingine ambazo zinapi nga na kutumpilia mbali  kutokana na siasa ambazo zainaonekana kuwa zenye kukandamiza na kulazimisha .  Katika mataifa hayo wahamiaji wanaweza  kujielekeza katika  mbşnu ambazo  ni kama unyenyekez-vu  au  kinyume chake ambacho ni kupinga kwa kujihisi kuwa utamaduni wao , imani zao zinashambuliwa katika mataifa ambayo wanaishi  na kuonekana kuwa  hazina thamani katika   jamii wazoishi.

Kumejitokeza  katika jamii baadhi ya watu ambao wanaonekana kuwa hawana uwezo wa kuweza kujşeleza kwa kuwa wapo katika mataifa mbayo wao wenyewe wanaona kama wapo ugenini Magharibi. Watu hushindwa kutonakana na kusafiri na tamaduni zao  na kutupilia mbali au kutokukubaliana na mabadiliko ya kitamaduni   katika matafa wanapo ishi na utawala uliopo.

Kufuati ahatau hiyo,  pande tofauti  zimefikia hatua ambayo inapelekea kupoteza  muelekeo wake kwa taifa na  majii.  Hatua hambazo husfikia ni kwamba kwa wakati fulani matendo ya kigaidi au mienendo ya kigaidi  hushuhudiwa mğongoni mwao. Kutokana na  jambo hilo hufikia kuundwa kwa makundi ya kigaidi na kuweza kukita mizizi yake. Tunashuhudia kuwa katika mataifa ambayo yamekaliwa kimabavu na mataifa ya Magharibi kama Afghanistani, Irak na Libya wanamgambo wanaoendesha matendo ya kigaidi na kujşunga na makundi hayo  kama kundi la wanamagmbo wa Daesh wanatoka katika mataifa ya Magharibi.  Makundi ya kgaidi hayo  yanaweza kuonekana kuwa ukombozi  wa mkundi ambayo yanaonekana kuwa katika msongo wa mawazo  na kutupilia mbali  tamaduni nyingine.

Miongoni mwa vijana ambao wanajşunga na makundş hayo ni vijana ambao wamesoma  na wanazungumza lugha tofautia .-

Tofauti na kukataa, wahamiaji wanaoishi Magharibi wanaweza kupitisha ambayo ni mahali pengine. Ukweli kwamba kampuni au serikali haifai uchaguzi mwingine ni jambo muhimu katika kupitishwa kwa mbinu inayotokana na zabuni.

Kwa hiyo watu hufanyika na kuacha kabisa maadili yao, imani na tamaduni za asili. Kuacha asili yao, watu hawa hupoteza uwezo wao wa kuchangia jamii. Wanaweza kuishi na hisia ya kuwa na mara kwa mara kuwa na aibu ya utamaduni wao wenyewe, jamii na nchi ya asili, wakiogopa maisha yao ya baadaye au kufikiri kwamba ndivyo jamii ambayo wanaishi inasubiri.

Njia hii inaweza kuwa, kimsingi, udhihirisho wa jitihada za kuzaa katika kila tukio mbinu ambayo haiwezi kutambuliwa. Hii inaweza kuwa sababu ya kupendeza kwa baadhi ya wanachama wa jamii na historia ya wahamiaji ambao wanafanana na jamii zao, utamaduni na nchi ya asili. Mbinu hii kubwa inaweza kusababisha kuenea zaidi kwa uhusiano wa wahamiaji na nchi yao ya asili na nchi ya mwenyeji ikiwa mamlaka ya nchi yanalenga ulasiri wa wahamiaji na watu ambao wenyewe uhamiaji.

Msimamo unaofaa utaleta nini? Inaendelea

Uchambuzi kutoka   kwa Profesa Dakatari Kudret BÜLBÜL katika  chuo kikuu cha Ankara Yıldrım Beyazit kitengo cha siasaHabari Zinazohusiana