Ubaguzi barani Ulaya na chuki dhidi ya uislamu

Kutoka katika kituo cha utafiti wa kisiasa uchumi na jamii SETA,  Mtafiti Can ACUN anatuchambulia

Ubaguzi barani Ulaya na chuki dhidi ya uislamu

Tukizungumzia kuhusu kundi la NSU  na uamuzi wa  mahakama, tunashuhudia muda mbao imechukuwa kesi ya mmoja miongoni mwa wanachama wa kundi hilo miaka mştano.  Serikali ya Ujerumani imeonekana kupata funzo kutokana na  uhalifu wa kundi la kigaidi la NSU. Kundi hilo lina chuki , ubaguzi na chuki dhidi ya uislamu.

Ujeruman inaonekana kutaka kukabiliana na kundi hilo la kigaidi na kulitokomeza. Mfuasi wa kundi hilo  anakabiliwa na shtaka la kumuua raia mmoja wa Uturuki, wafuasii wa kundi hilo wanakabiliwa na mauvu chungu mzima kama wizi na utegaji wa mabomu. Beate Zschaepe aliekutwa na hatia alihukumiwa kifungo cha maisha  na Mahakama mjini Munich huku washirika wake wakihukumiwa adhabu tofauti. Washirika wake walikuwa watu wanne.

Kutoka katika kituo cha utafiti wa kisiasa uchumi na jamii SETA,  Mtafiti Can ACUN anatuchambulia  mada yetu …    

Ofisi za muendesha mashtaka mkuu anaehusika na   masuala ya usalama nchini Ujerumani  amesema kuwa  NSU nni kundi ambalo linaongozwa na  watu watatu. Beate Zschaepe ,  Uwe Böhnhard  na Uwe Mundlos. Novemba 4 mwaka 2011  baa da ya kuonekana kwa muili ulikuwa katika gari  baadhi ya taarifa zilifahamisha kuwa  huenda ilikuwa tukio ambalo kuna mtu alichukuwa uamuzi wa kujimalizai maisha.

Kwa upande mwingine  mshukiwa wa kwanza alikuwa mwanachama wa NSU Beate Zschaepe  kutokana na uchunguzi  uliofanywa na jeshi la Polisi siku kadhaa baada ya tukio hilo.  Kulitolewa baadhi  ya taarifa ambazo kundi hilo lilikuwa limezichukuwa kama  siri. 

Kundi hilo liliweza kuharibu nyaraka zaidi ya 130 ikiwemo pia  moja ya nyaraka ambazo shirika la upelelezi la Ujerumani , shirika la kulinda katiba na uthibitisho uliokuwepo wa  kundi la NSU. kwa Ukweli ulokuwepo ni kwamba mamlaka  au mawakili  hawakuweza kuamini kuwa kundi hilo lililkuwa likiongozwa na watu watatu pekee. Kitendo cha kundi hilo kuwa chini ya milki ya watu watatu kilishangaza.

Licha ya kumalizika kwa  kesi hiyo kuhusu NSU, majibu kuhusu masula  muhimu na nyeti  yilkosa ufumbuzi  na majibu yaliostahili.  Moja ya kitengo mongoni mwa vitengo vinavyohusika na usalama kilikuwa kilikuwa kikilitambua vema kundi hilo.  Shirika la kulinda katiba ni moja ya kitengo kilichokuwa kikitambua kundi hilo.

Baada ya mauaji yalioendeshwa na wanachama wa kundi hilo la NSU,   vyombo vya usalama katika hatua yake ya kwanza vilishuku familia  ya mtu alieuawa Ujerumani. Vyombo vya usalama vilitupilia mbali  kuwa kitendo hicho hakiwezi kuwa kitendo cha kibaguzi kinachoambatana na ubaguzi wa rangi. Vyombo ya habari nchini Ujerumani vilizungumzia tuki hilo kinyume na uhalisia wake .

Kutokana na Ujerumani kutoshakia kundi hilo ambalo lilikuwa likiendesha mauaji kulkuwa na uhatari kwa watu kuendelea kuuawa kwa kuwa hakuna ambae alietia shaka kwa  wanachama wa kundi hilo.  Kundi hilo lililkuwa na sera za kibaguzi na kuwalengo wasiokuwa na asili ya taifa hilo licha ya kuwa na uraia.

Watu wasiokuwa na hatia wangeendelea kuuawa.  Watu 10 waliuawa.

 Hali hiyo inaonesha kuwa ni kiasi gani  ubaguzi  umekithiri nchini Ujerumani na chuki dhidi ya waislamu.  Kulingana na utafiti ulioendeshwa Ujerumani  vyama vya mşengo wa kulia  mabvyo vimefika katika nafasi ya pili ni kwamba vimepata nafasi kubwa ambayo ilikuwa haitegemewi. Chuki dhidi ya wageni na na chuki dhi ya uislamu imeonekana kukithiri nchini Ujerumani.

Hali ya ubaguzi nchini Ujerumani imeendelea kujitokea , na hivi karibuni  katika kichezzo  tumeshuhudia  kitendo alichotendwa mchezaji wa Ujerumani mwenye asili ya Uturuki. Timu ya taifa ya kabumbu ya Ujerumani iliochukuwa kombe la dunia la mwaka 2014 , ushindi huo ulipataika kutokana na  mkusanyika wa tamaduni tofauti. Wachezaji kama İlkay Gündoğan, Sami Khedira, Lukas Podolski, Jerome Boateng  na wachezaji wengine  ni wachezaji wanaofahamika vema katika michezo kwa umahiri wao wanapokuwa uwanja wakiwakilisha  Ujerumani.

Ubaguzi umeonekana katika timu  Boateng, Mesut Özil  na Ilkay , wachezaji hao wawili walipiga picha ambayo ilizua gumzo nchini Ujerumani wakiwa na rais wa Uturuki Recep Tayyıp Erdoğan nchini Uingereza.

Mesut Özil ametuhumiwa na kukejeliwa kuwa yeye ni moja miongoni mwa sababu zilizopelekea timu ya taifa ya Ujerumabi kuondoka mapema katika michuano ya kombe la dunia iliokuwa ikifanyika nchini Ujerumani.

Kutoka katika kituo cha utafiti wa kisiasa uchumi na jamii SETA,  Mtafiti Can ACUN anatuchambulia  mada yetuHabari Zinazohusiana