Diplomasia ilipewa kipaumbele katika mchakato wa kuleta amani Cyprus

Uturuki na Cyprus zilitoa zilijali umuhimu wa diplomasia katika mchakato wa uendeshaji wa amani na utulivu miaka 44 iliyopita

Diplomasia ilipewa kipaumbele katika mchakato wa kuleta amani Cyprus

Uturuki, Cyprus na viongozi washirika wa visiwa walitoa kipaumbele kwa jitihada za kidiplomasia katika nchi kabla ya kufanya mikataba ya kimataifa ya operesheni ya amani.

Katika picha, baadhi ya mizinga ya jeshi la Uturuki iliyoshiriki katika Uendeshaji wa Amani ya Cyprus inaonekana.

ANKARA - NAZLI YÜZBAŞIOĞLU

Uturuki na Cyprus zilitoa zilijali umuhimu wa diplomasia katika mchakato wa uendeshaji wa amani na utulivu miaka 44 iliyopita.Mikataba ya kimataifa iliyofanywa kwa niaba ya viongozi wa nchi na visiwa husika,ilifanywa kwa kutoa kipaumbele kwa diplomasia kwanza.

Uendeshaji, ulioanzishwa na Jeshi la Uturuki tarehe 20 Julai 1974, ulileta amani katika kisiwa hicho.

Hali huko Cyprus hapo awali

Ugiriki na Uturuki zililikubalina tarehe 11 Februari 1959 nchini Uingereza na kutoa kibali chake kama viongozi wa jumuiya mbili katika mikataba ya Cyprus Zurich na London.Makubaliano yalilenga uhuru, ushirikiano wa jamii mbili, uhuru na ufumbuzi katika nyanja ya kijamii Uturuki, Ugiriki, na ilifata msingi wa kanuni bora ya dhamana ya Uingereza.

Kwa mujibu wa mikataba ya kimataifa ya ushirikiano kati ya watu wawili wa Adan, "Jamhuri ya Cyprus" iliyoanzishwa mwaka wa 1960 ,haki sawa za kisiasa zilipewa kwa Mgiriki wa Cyprus na Wagiriki wa Cyprus katika katiba.

Kwa upande mwingine, upande wa Ugiriki wa Cyprus umejaribu kuwaondoa Waturuki wa Cyprus kutoka katika taasisi za serikali, kuwatenga, kuwaondolea  utajiri wao na kufungua njia ya Enosis (Enosis) na Ugiriki. Jeshi la Kigiriki la Cyprus, ambalo lilikuwa na silaha za kufikia lengo la Enosis, lilishambulia jeshi la Cyprus mpaka 1974 na kuongeza kwa ukandamizaji na unyanyasaji.

Harakati zilizopelekea operesheni  kutoepukika

 Hali ya kutokuelewana ilijitokeza katika jamii ya wacyprus wa Ugiriki  baada ya kuondolewa kwa waturuki waliokuwa wakiishina kuwa katika uongozi ambao ulifahamika kama  « taifa mshirika »  ulioundwa  mwaka 1960. Hali ya kutoelewana ilijitokeza müongoni mwa wanachama wa EOKA na kupelekea  mzozo bain aya  kiongozi wa   Cyprus  Ugiriki Makarios ambae alikuwa akihofia  Uturuki kuingilia kati  na kupendelea  Uturuki iingie katika  uchumi  na wanachama wa EOKA-B.

Julai 15 mwaka 1974 kwa usaidizi wa jeshi  , kionmgoni wa EOKA Nikos Sampson  alipidua serikali na kuchukuwa utawala  baada ya kumuondoa Makarios  kwa şengo la kutaka kujşunga na Ugiriki  k, Kufautia jambo hilo  ni wazi kuwa ilikuwa kukiuka  uhuru na ardhi ya Cyprus.

 Harakati za kidiplomasia za Uturuki kabla ya kuanzisha operesheni

Uturuki  ilianzisha harakati kwa lengo la kutaka  kuafikiana kuhusu makubaliano ya mwaka 1960.  Kufuati jambo hilo Uturuki na Uingereza  ziliafikiana mjini London katika mkutano Julai 17 na julai 18 mwaka 1974 kuhusu kipindi kilichofuatia baada ya mapinduzi.  Ugiriki pia ilialikwa kushiriki katika mazungumzo na wakati huo huo  jeshi katika madaraka  halikukubali mualiko lililopewa kushiriki.

Operesheni kwa ushirikiano na Uingereza  ilipendekezwa  wakati wa mazungumzo  yaliongozwa na waziri mkuu wa  zamani Bülent Ecevit na waziri wa  mambo ya  nje wa Uğngereza  wa zamani ambae anafahamika kwa jina la  James Callaghan. Kufuatia Uingereza  kukataa ushirikiano, Uturuki ilianzisha  Julai 20 mwaka 1974 operesheni ya amnai Cyprus  chini ya misingi ya  makubalianon akuhakikisha  usalama kwa waturuki wanaoishi katija kisiwa cha Cyprus.

Kutokana na hatua hiyo iliochukuliwa na  Uturuki  alipelkea kuzuia Cyprus  kuwa milki ya  Ugiriki  na waturuki wanaioshi Cyprus wakapatiwa usalama.

Operesheni hiyo ya amnai ilioendeshwa na Uturuki ilipekea  kuondoka madarakani  kundi la wanajeshi waliokuwa katika utawala na kuifanya Ugiriki kuwa taifa la demokrasia.

Juhudi za kidiplomasia  ziliendelea  katika kipindi cha pili cha operesheni

Chini ya kipenegele cha  baraza la usalama la Umoja wa  mataifa nambari 353 kilicho pitishwa Julai 20 nwaja 1974 Uturuki ilitolea wito Uingereza na Ugiriki  kuanza mchakato wa mazungumzo ya amani kwa lengo la kurejesha amani. Mataifa hayo matatu yalikutana mjini Geneva kati ya Julai  25 na Julai 30 mwaka 1974 huku viongozi wa kidiplomasia kutoka katika mataifa hayo kubadilisha  makubaliano Julai 30 mwaka 1974.

 Makubalaino hayo yalikuwa yakştaka  kuondolewa bila msaharti waliokuwa katika eneo ambalo lililkuwa limekaliwa na Ugiriki na kuendelea kwa mazungumzo kati ya waziri wa mambo ya nje kwa lengo la kuendele a na mazungumzo ya amani. Katika kisiwa cha Cyprus.

Katika kipindi au hatua ya pili, Ugiriki  şlitupilia mbali mapendekezo yote yaliotolewa  Agosti 9. Moja ya mapendekezo ilikuwa  kuunda  katiba mpya na kuondoka kwa wanajjeshi wa Ugiriki katika kisiwa.

Mkutano uliofanyika  ulimalizika bila ya maafikiano Agosti 14 baada ya Ugiriki kusema kuwa  haikubaliani na  suluhisho kama ilivyokuwa mwaka 1960.

Mwaka 1983 Novemba 15 Jamhuri ya Uturuki ya Cyprus Kaskazini iliundwa.

 


Tagi: Uturuki , Cyprus

Habari Zinazohusiana