Mahujaji wa kwanza wawasili Saudi Arabia

Kundi la mahujaji wa kwanza limewasili nchini Saudi Arabia.

Mahujaji wa kwanza wawasili Saudi Arabia

Kundi la mahujaji wa kwanza limewasili nchini Saudi Arabia.

Ndege yenye mahujaji 419 kutoka Bangladesh imewasili katika uwanja wa ndege wa Mfalme  Abdulaziz Jeddah nchini Saudia.

Kuanzi 14 Julai-17 Agosti uwanja huo wa kimataifa utatoa huduma kwa wanaoingia tu.

 Habari Zinazohusiana