Marekani yafanya mashambulizi Syria

Takriban wanajeshi 40 wa Assad wameshambuliwa na ndege za kivita za Marekani katika eneo la Deir ez-Zor mashariki mwa Syria.

Marekani yafanya mashambulizi Syria

Takriban wanajeshi 40 wa Assad wameshambuliwa na ndege za kivita za Marekani katika eneo la Deir ez-Zor mashariki mwa Syria.

Kwa mujibu wa haabri,ndege za Marekani imefanya mashambulizi hayo zikilenga ngome ya magaidi wa DAESH katika mji wa Al-Boukamal.

Wanajeshi wengi wa Assad wameuawa na wengine walilikimbia eneo hilo baada ya mashambulizi ya anga kuanza.Habari Zinazohusiana