Rais wa Uturuki Recep Tayyıp Erdoğan azungumza na rais wa Ufaransa Emmanuel Macron

Rais Recep Tayyıp Erdoğan akutana na kufanya mazungumzo na rais wa Ufaransa Emmanuel Macron katika mkutano wa NATO nchini Ubelgiji

Rais wa Uturuki Recep Tayyıp Erdoğan azungumza na rais wa Ufaransa Emmanuel Macron

Rais wa Uturuki Recep Tayyıp Erdoğan akutana na kufanya mazungumzo na rais wa Ufaransa Emmanuel Macron katika mkutano wa NATO uliokuwa ukfanyika mjini Brussels nchini Ubelgiji.

Mazungumzo kati ya viongozi hao wawili yalichukuwa muda wa dakika 15.

Katika mazungumzo hayo  baina ya rais wa Ufaransa na rais  Erdoğan , waziri wa mambo ya nje wa Uturuki Mevlüt Çavuşoğlu0 waziri wa ulinzi Hulusı Akar, na msemaji wa rais Ibrahim Kalın  walishiriki katika mazungumzo hayo.

Rais Erdoğan alizungumza pia na viongozi wengine wa Umoja wa Ulaya akiwa Kansela wa Ujerumani Bi Angela Merkel.

 Habari Zinazohusiana