"Uturuki ni taifa huru ambalo linawajimbu wa kujilindia usalama wake"

Waziri wa mambo ya nje wa Uturuki asema kuwa Uturuki ni taifa ambalo wajibu wake ni kulinda usalama wa mipaka yake

"Uturuki ni taifa huru ambalo linawajimbu wa kujilindia usalama wake"

 

Waziri wa mambo nje wa Uturuki Mevlüt Çavuşoğlu aamesema kuwa Uturuki ina wajibu wa kulinda mipaka yake. Uturuki ni taifa huru na ni taifa ambalo  linawajibu wa kuchukuwa wajibu katika masuala yanayohusu taifa hilo  ameendelea kusema waziri wa  mambo ya nje wa Uturuki.

Hayo waziri wa  mambo ya nje wa Uturuki ameyazungumza  wakati  akijibu maswali  kuhusu mfumo wa makombora aina ya S-400 ambao Uturuki imenunua kutoka Uryusi.

Akiwa mjini Brussels kushiriki katika mkutano wa NATO, waziri wa mambo ya nje wa Uturuki amezungumzia kuhusu mfumo huo wa kujihami na makombora aina ya S-400.

Çavuşoğlu amesema kuwa baadhi ya mataifa wanachama wa NATO yanahoji kuhusu uamuzi wa Uturuki kununua mfumo huo kutoka Uturuki. Marekani ni majo ya mataifa  wanachama wa NATO yanayohoji kuhusu uamuzi wa Uturuki. 

 


Tagi: NATO , ulinzi , S-400 , Uturuki

Habari Zinazohusiana