Mike Pompeo akiwa katika Falme za Kiarabu

Waziri wa mambo ya nje wa Marekani Mike Pompeo amefanya ziara UAE na kukutana na mwanamfalme Sheikh Muhammad bin Zayid Al Nahyan.

Mike Pompeo akiwa katika Falme za Kiarabu

Waziri wa mambo ya nje wa Marekani Mike Pompeo amefanya ziara UAE na kukutana na mwanamfalme Sheikh Muhammad bin Zayid Al Nahyan.

Viongozi hao wawili wamezungumza kuhusu mahusiano kati ya Falme za Kiarabu na Marekani.

Mazungumzo yamegusia ushirikiano wa kibiashara,sekta ya kupambana na ugaidi na vilevile ulinzi.

Tagi: Marekani , UAE

Habari Zinazohusiana