Uturuki na mapambano dhidi ya ugaidi

Utafiti wa Can ACUN kutoka katika kitengo cha utafiti wa masula ya kisiasa, uchumi na jamii SETA

Uturuki na  mapambano dhidi ya ugaidi

Baada ya jaribio la mapinduzi la   Julai 15 nchini Uturuki, Uturuki ilianza harakati mpya ambayo lengo lake ilikuwa kukabiliana na wahaini waliohusika na jaribio hilo la mapinduzi ambalo lilisababisha maafa na uhaibifu. 

Uturuki imeonekana kuongeza juhudi katika  kupambana na na ugaidi ndani na nje ya mipaka yake.  Makundi ya kigaidi  yalikuwa yameweka ngome katika mipaka ya Uturuki.  

Utafiti wa Can ACUN kutoka katika kitengo cha  utafiti wa masula ya kisiasa, uchumi na jamii SETA

Uturuki imefaulu kuwaondoa magaidi katika mipaka yake , moja ya mfano  ni kundi la wanmagambo wa Daesh walioondolewa kufuatia operesheni ya Efratia. Jeshi la Uturuki lilianza opereshni dhii ya ugaidi katika jimbo la Afrin nchini Syria kwa lengo la kuwaondoa wanamgambo wa kundi la PKK/YPG katika eneo hilo na katika mipaka ya Uturuki. Operesheni ambayo ilianzishwa lkwa lengo la kuwandoa magaidi katika eneo hilo ilipewa jina la operesheni ya Tawi la Mzaituni.

Operesheni nyingine ambazo jeshi la Uturuki linalengo la kunzisha ni  Kandil, Sinjar na Manbij.  operesheni za kijeshi dhidi ya wanmaagmbo wa makundi ya kigaidi  Kandil zilianza mwezi uliopita , makubaliano kuhusu Manbij yalitiwa saini na k-harakati za kidiplomasia na Marekani. Makubaliano ya kidiplomasia kuhusu  Sinjar pia yalijadiliwa.

Wanajeshi wetu wanasonga mbele atua Kwa atua katika operesheni dhidi ya ugaidi katika ngome zao.

Hata kama upi'nzani unapinga hilo tutaendelea kukabiliana n'a magaidi n'a khakikisha wanaondoka Kandil n'a vitisho vyao kama tulivyofanya Afrin , Jerabluz, Al Bab na Azez.. Hata wafuasi wa kundi linalotaka kujitenga wameonekana kukerahishwa.

Tutaendelea mapambano dhidi ya ugaidi hadi tutakapohakikisha kuwa hakuna vitisho vya ugaidi katika mipaka ya Uturuki. Tutarına funzo katika uchaguzi kwa wote ambao wanampinga operesheni dhidi y'a ugaidi Kandil kama iliyokuwa wakati wa operesheni ya Afrin nchini Syria. 

 

Hayo rais wa Uturuki ameyazungumza akiashiri awote waliojuwa wakipinga jeshi la Uturuki kuanzisha operesheni dhidi ya ugaidi Afrin  nchini Syria.

Ni wajibu kwa UTuruki kuendeshna operesheni dhidi ya ugaidi  kwa lengo la kulinda mipaka yake na vitisho vya ugaidi.

 Tumenza opereshen Kandili na Sinjar.  Tumefaanikiwa lkushambulia  ngome 14 za magaidi na  ndege 20 za kivita.  Ndege za kivita hizo  zimeendesha mashambulizi na kurejea katika kambi licha ya kuwa opreesheni dhidi ya ugaidi bado haijamalizika.  Operesheni dhidi ya ugaidi zitandelea amasema  rais wa Uturuki Juni 11 na kufahamisha rasmi kuwa  harakati za operesheni ardhini zinaendelea  ma ailivyokuwa Kandili au inavyotarajiwa.

Operesheni dhidi ya ugaidi  imeeendeshwa  na jeshi la Uturuki imepelekea  kuingia katika eneo la kimomita 24 Kandil na kuweka vituo 11 vya ulinzi.

 Operesheni dhidi ya ugaidi Irak lengo lake ni kuwaondoa magaidi wa kundi la PKK  na washirika wake wanaotambulika kama  YBŞ na opereshini hiyo sio tu Kandil bal ina Sinjar.  Eneo la Sinjar linatumiwa kama ene ona mapito  baina ya Syrian a Irak na kundi la kigaidi.   Baada ya serikali ya Irak na Marekani kuwa Sinjar, wanamagmbo wa kundi la PKK/YBŞ  waliondoka katika eneo hilo kutokana na kile ambacho kilionekana kuwa kama  atua iliofikiwa. Kundi la PKK/YBŞ bado lina uwepo wake.

 Uturuk haipunguzi juhudi zake za kupambana na ugaidi .  Uturuki inaendelea pi ana diplomasia  katika kutafuta suluhu katika baadhi ya mizozo inayojitokeza.   Kutokana na kwamba uongozi wa Kaskazini mwa Irak haukuonesha kukerwa na  i wazi kuwa diplomasia ya Uturuki imefaulu na kuonesha ushirikinao na Irak katika juhudi za kupambana na ugaidi.

Diplomasia ilitumika kwa ushirikinao na Marekani , Uturuki imezungumzia na kujadili kuhusu kundi la wanmagambo wa PKK/YPG nchini Syria.

 Kutokana na diplomasia iliendesha na Marekani na Uturuki, matafa  hayo yameafikiana na kuhusu saula zima la Manbij.  Makubaliano kuhusu Manbij, wanamgambo wa kundi la PKK/YPG  wataondoka Manbij kuelekea Mashariki mwa Efratia, Uturuki, Marekani na Ufaransa  watashirikiana katika eneo hilo baada ya wanmagambo hao kuondoka katika eneo hilo.  Kutaundwa uongozi katika eneo hilo na kuwekwa ulinzi kwa ushirikiano Manbij.

 Makubaliano baina ya Uturuki na Marekani sio tu kuhus Manbij yanaweza pia kutumiwa kama mfano  katika maeneo ambayo magaidi wanatumia kama ngpome Mashariki mwa Efratia.

  Iwapo makaubaliano hayo yatateklezwa Manbij, uwezekano wa kutumia Raqqa, Dier Ez Zorn a Tal Abyad utawekewa kipaumbele kwa kuwa ni maeneo ambayo pia wanamgambo wa YPG wanaendesha uhalifu wao dhidi ya raia.

Uturuki itaendelea na harakati zake za kupambana na ugaidi. Wanamgambo wa kundi la kigaidi la PKK/YPG wametumişa hali isioridhisha inchini Iraq na Syria kukalia maeneo tofauti katika ukanda.

Utafiti wa Can ACUN kutoka katika kitengo cha  utafiti wa masula ya kisiasa, uchumi na jamii SETA


Tagi: uagidi , Kandil , Uturuki , PKK

Habari Zinazohusiana