Shirika la kimataifa la masuala ya nyuklia lathibitisha matumizi  ya gesi ya sumu Syria

Shirika la kimataifa linalohusika na masuala ya nyuklia lathibitisha matumizi  ya gesi ya sumu katika mashambulizi nchini Syria

Shirika la kimataifa la masuala ya nyuklia lathibitisha matumizi  ya gesi ya sumu Syria

Shirika la kimataifa  linalohusika la masuala ya gesi  na utafiti   kuhusu gesi za sumu lathibitisha  matumizi ya gesi ya sumu nchini Syria.

Kitengo kinachohusika na  masuala ya silaha za suma Umoja wa Mataifa kimethibitisha kuwa gesi za sumu zilitumiwa  katika shaambulizi la Machi 24  mwaka 2017 Latamna. Taarifa hiyo imefahamisha kuwa tume  maalumu ilioandaliwa na  Umoja wa Mataifa imetoa ripoti yake.

Kulingana na taarifa kuhusu ripoti hiyo ya kitengo cha Umoja wa Mataifa, silaha za sumu za kemikali zilitumiwa katika shambulizi lililolengo hospitali Machhi 25  Latamna.

Uchunguzi uliofanyika  umeonesha kuwa silaha za sumu zilitumiwa katika shambulizi hilo. Ripoti hiyo imefikishwa katika ofisi za baraza la usalama la Umoja wa Mataifa.


Tagi: Syria , UN , UM

Habari Zinazohusiana