Waziri wa mambo ya nje wa Uturuki kufanya zaira nchini China

Waziri wa mamnbo ya nje wa Uturuki Mevlüt Çavuşoğlu kufanya ziara rasmi nchini China

Waziri wa mambo ya nje wa Uturuki kufanya zaira nchini China

 

Waziri wa mambo ya nje wa  Uturuki Mevlüt Çavuşoğlu anatarajiwa kujielekeza nchini China katika ziara yake rasmi. Ziara ya   waziri wa amabo ya nje wa Uturuki inatarajiwa Ijumaa.

Katika ziara  yake hiyo, waziri wa mambo ya nje wa Uturuki  anatarajiwa kukutana na  Wang Qishan na waziri wa mambo ya nje wa China Wang Yi.

Ziara hiyo  ambayo itachukuwa muda wa siku mbili, waziri wa  mambo ya nje wa Uturuki  atakutana na wawakilishi wa mashirika  ya wawekeza wa China na uwezekano wa kuwekeza nchini Uturuki.

 

 Habari Zinazohusiana