Uturuki na Pakistani kuimarisha ushirikiano

Uturuki na Pakistani zaafikiana kuimarisha ushirikiano

Uturuki na Pakistani kuimarisha ushirikiano

Uturuki na Pakistani zaafikiana kuimarisha ushirikiano katika sekta tofauti za maendeleo.

Rais wa Uturuki Recep Tayyıp Erdoğan a amepongeza atua zilizopigwa katika  ushirikiano baina ya Uturuki na Pakistani.

Ushirikiano huo baina ya mataifa  hayo mawili ni katika nyanja tofauti ikiwemo ulinzi. Rais Erdoğan amepongeza  mpango wa amani na ushirikiano  kati ya Afghanistani na Pakistani.

Rais wa Uturuki amezungumza kwa njia ya simu na rais wa Pakistani Memnun Husein.

Katika mazungumzo hayo kwa njia ya simu viongozi hao watetola pongezi  kwa waislamu na kuwatakia siku kuu nje ya Idi.

Vile vile  wameonesha umuhimu wa kuimarisha ushirikiano baina ya Uturuki na Pakistani.

 Habari Zinazohusiana