Ujumbe wa siku kuu ya Idi kutoka kwa rais Erdoğan

Rais wa Uturuki Recep Tayyıp Erdoğan awatkia waislamu siku kuu nje ya Idi

Ujumbe wa siku kuu ya Idi kutoka kwa rais Erdoğan

Rais wa Uturuki Recep Tayyıp Erdoğan awatakia waislamu siku kuu nje wa Idi baada ya kufuga mwezi mtukufu wa Ramadhani. Katika ujumbe wake aliotoa, rais Erdoğan amewatolea wito wote walio watakaosafiri kuhesgimu sheria za barabarani.

Rais Erdoğan amewatia waislamu wote ulimwenguni siku kuu nje ya Id kwa kusema kuwa  ,mwezi mtukutu wa Ramadhani ulianza kwa baraka za muumba.

 Rais Erdoğan katika ujumbe wake  huo amewakumbusha waislmu kuwa mwezi mtukufu wa Ramadhani ulikuwa  mwezi wa msamaha na rehma.

Maelewana, mshikamano, umoja, udugu na mapenzi ndio  ujumbe wa rais wa Uturuki kwa waislamu wote waislamu.

 

 

 Habari Zinazohusiana