Amiiri jeshi mkuu wa Uturuki azungumza na Curtis Scaparrotti

Amiri jeshi mkuu wa Uturuki Hulusı Akar azungumza kwa njia ya simu na  kamanda mkuu wa jeshi la NATO

Amiiri jeshi mkuu  wa Uturuki azungumza na Curtis Scaparrotti

Amiri jeshi mkuu wa Uturuki Hulusı Akar azungumza kwa njia ya simu na  kamanda mkuu wa jeshi la NATO

Amiri jeshi mkuu wa Uturuki Hulusı Akar amezungumza kwa njia ya simu na kamanda mkuu wa jeshi la kujihami  la Magharibi NATO Curtis Scaparrotti.

Katika mazungumzo yao viongozi hao wamezungumza kuhusu Manbij.  Viongozi hao wa ngazi za juu katika jeshi wamezungumza kuhusu mpango wa operesheni Manbij.

Kulingana na taarifa zizlitolewa na  amiri jeshi mkuu wa Uturuki, mazungumzo baina ya viongozi hoa,  kulizungumzia  hali inayoendelea Kaskazini mwa Syria  na Manbij.

 Habari Zinazohusiana