Rais Edoğan azungumza na rais wa Ukraina kuhusu mradi wa TANAP

Rais wa Uturuki Recep Tayyıp Erdoğan azungumza na rais wa Ukraina Petro Poroshenko kuhusu mradi wa TANAP

Rais Edoğan azungumza na rais wa Ukraina kuhusu mradi wa TANAP

Rais wa Uturuki Recep Tayyıp Erdoğan amezungumza na rais wa Ukraina  Petro Poroshenko   kuhusu mradi wa TANAP, mradi ambao utanuafaisha ukanda kwa usafirishaji wa gesi asilia na kuinua uchumi.

Mkutano kati ya viongozi hao ulichukuwa muda wa saa moja na nusu.

Baada ya kuzinduliwa kwa mabomba ya mradi huo wa kusafirisha gesi asilia, viongozi hao walikutana mkoani Eskişehir Jumanne Juni 12.

 

 Habari Zinazohusiana