Chuki dhidi ya uislamu na sera za nje za Uturuki

Chuki dhidi ya uislamu na sera za nje za Uturuki

Chuki dhidi ya uislamu na sera za nje za Uturuki

Leo  tunashuhudia kuwa Uislamu umekuwa ukizungumzia mara kwa mara  katika ulimwengu wa Magaharibi, lililkuwa jambo jema bali  la kuskitisha ni kwamba  uislamu unazungumziwa ba kujadili wa Magharibi  kutokana na hufo watu waliojijengea katika nafsi zao.

Baada ta mashambulizi aya Septemba 11, wahamiaji  wanaoomba hifadhi katika mataifa ya Magharibi  wamejipata katika hali isioridhisha kwa kuwa wamechukuliwa kwama wawakilishi wa ugaidi Magharibi. Wahamişaji wa kiislamu au kutoka katika mataifa ya kiislamu wameonekana kama  tishio katika mataifa hayo wanayoomba hifadhi.  Lao katika kipindi chetu tutazungumzia  suala hilo ambalo linakwenda sambamba na  chuki dhidi ya uislamu na hali iliopo na Uturuki.

Kipindi chetu kimetaarishwa kutoka katika chuo kikuu cha Atatürk katika kitengo cha ushirikiano wa  kimataifa  Dr Cemil Doğaç İpel.

 Kwanza kabisa tuzungumzia chanzo na asili ya neno phobia, phobia ni neno la kigiriki ambalo linamaana ya muungu wa hofu na uoga katika tamaduni za  kale za Ugiriki. Neno hilo kwa sasa linatumiwa  katika hofu au kuwa na hofu kutokana na kitu ambacho kinasababisha hofu hiyo. Vile vile neno hilo linatumiwa kwa kuashiria  kitu ambacho kina mtazamo hasi.

Katika tafsiri ya haraka mi ilio wazi neno Islamophofia ni neno ambalo linaashiria bila shaka hofu dhidi ya uislamu au kwa lugha nyingine tunaweza kusema kuwa ni Uislamu unatia hofu. Hali  na tafsiri hiyo inapelekea chuki dhidi ya waislamu na uislamu. Neno hilo linatumiwa licha  ya kuwa hakuna neno halisi lenye tafsiri hiyo.

Kitengo cha Umoja wa Ulaya cha kutetea  hadi  na kupinga chuki dhidi ya Uislamu , Septemba 11 mwaka 2001 katika  kukabiliana na ugaidi baada  ya matukio yaliotokea , jamii ya waarabu, wayahudi, waislamu, baadhi ya makundi ya wahamiaji na wakimbizi, wahamiaji waliokuwa wakiomba hifadhi na makundi ya watu na jamii za wachahche  walikuta  wametengwa katika  taasi tofauti ikiwemo katika mashule, elimu, kazi, makaazi, kuhudumiwa katika taasisi za umma na sekta nyingine huku  wakiwa katika matembezi na uhuru ya  kusafiri wakishambuliwa  kwa  vitendo vya kibaguzi.  

Neno Islamophobia ni neno ambalo linatumiwa  kwa lengo hasa la  kuwabagua watu wenye imani ya uislamu au watu  ambao wanashabihishwa  kuwa wanafuata imanai hiyo.

Uislamu umekuwa ukizungumzia Magharibi  kutokana na hufu ambayo imepandikizwa  katika miaka ya nyuma.  Kuna mashirika ambayo yana maslahi na  matukio ya Septemba 11 na ugaidi.  Ulimwengu wa Magharibi unajihisi  kuingiliwa na Uislamu na vyombo vya hambari vya kimataifa  vinaendelea  kuonesha kuwa  ugaidi  ni moja ya  mafunzo na kuendelea kuzagaza ujumbe ambao sio wa uislamu.Habari Zinazohusiana