Mtazamo na Uislamu wenye msimamo wa wastani

kwa nani na nini Uislamu wenye msimamo wa wastani?

Mtazamo  na Uislamu wenye msimamo wa wastani

Katika kipindi tulichanacho, baadhi ya  mashirika na idara za upelelezi  ya mataifa kadhaa  yameweza kuingia katika mpango  ambao unakwenda kinyume na uhalisia ua hali  halisi . 

Historia inatuonesha kuwa  hakuna siku hata moja  kutakucha huku jua likiwa na tope. Mpango  huo unaonekana  kuwa  mgumu.

Daktari Kudret BÜLBÜL kutoka  katika chuo kikuu cha Ankara Yıldırım Beyazıt anatuletea tathmini ya kipindi chetu cha leo…

Moja ya mifano halisi ni  mjadala kuhusu Uislamu wenye msimamo wa wastani au uislamu usiokuwa na misimamo mikali.

Katika ulimwengu wa Magharibi katika kipindi hiki  tumeshuhudia mara kadhaa kuonana kuwa kuna  mjadala kuhusu imani na uislamu wenye msimamo wa wastani.

Sual hilo limekuwa likizungumziwa katika mijadala tofauti ambayo  hufanyika  Magharibi. Kabla ya vita vya pili vya dunia kulikuwa   kukizungumziwa kuhusu  imani ya kiyahudi na jamii hiyo na kujipata katika  mfumo wa kinazi na   mfumo wa kifashisti. Nchini Ufaransa mara kwa mara tunashuhudia mijadala kuhusu uislamu. 

Nchini Ufaransa baadhi ya wasomi na watu wenye ushawishi zaidi ya 300 walisaini kuwa  katika kitabu kitakatifu cha Qu ran kuna   maandika ambayo yanastahili  kufutwa kulingana na mtazamo wao  maandiko hayo yanahamasisha  ghasia na chuki dhidi ya wayahudi.  Wakati huo huo  wasomi hao na watu hao wenye ushawishi wamefumbia macho unyama wanaotendewa wapalestita.

Misimamo mikali ya kidini huchukulia kuwa uislamu  unakwenda sambamaba na ugaidi jambo ambalo falsafa ya uislamau inapinga na kukemea vikali. Kutumia uislamu kwa lengo lla maslahi binafasi ni jambo la kukemewa.

Uislamu unapinga mkuingilia kati kwa imani.  Vile vile kuna umuhimu mkubwa kuhakikisha kuwa uislamu ni mmoja na msimamo mkali ni jambo ambalo lengo lake ni kutaka kuchafua uislamu kwa matenda yanayoendeshwa kwa madai ya imani na mafunzo ya uislamu.

Makundi yanayodai kuwa ni ya misimamo mikali kiundani malengo yao hayaendani na mafunzo ya uislamu. Katika mapambano dhidi  ya makundi yan ayodai kuwa yanatetea uislamu hakuna ukweli wowote bali kiini macho na malengo yao ni kuchafua uislamu.  Wakati wa kukabalaiana na makundi hayo  inatakiwa ifahamike kuwa ni mapmbano dhidi ya ugaidi. Kwa kuwa ni ugaidi uliowazi.

 Hali  kuhusu suala hilo inatakiwa kufafanuliwa vilivyo ili kuhakikisha kuwa suala hilo limeeleweka.  Tukiangali  makundi ambayo ni ya kikristo aua makundi ambayo asili yake inataoakana na  imani ya kikristo,  hayatambuliki kama makundi yenye misimamo mikali aua misimamo ya wastani kulingana na imani yake yake au mitazamo yaliyonayo.

Kwa upande wa Isreal ambayo inakiuka mikataba ya kimataifa na unyanyasaji dhidi ya wayahudi na wapalestina ambao kwa mtazamo wao wana msimamo wa wastani , jambo hilo halijadiliwi kama  ilivyo kulingana na hatuo ambyo tayari imekwishapigwa.

Tukiangalia kwa upande mmoja au mwingine tunaona kuwa uislamu  ambao unafahamishwa kuwa uislamu wenye  msimamo wa wastani  hauhusika katika kukabilana na ugaidi.  Malengo ya kupambana na ugaidi , imani na   mitazamo ambayo tayari kwa sasa ubepari  imekuwa na ugumu kufahamisha  hasa mtazamo  na kuchukuwa kauli moja kuhusu ugaidi. 

Makundi ya kşgaidi kama kundi la wahainş wa FETÖ , kundi la kigaidi la PKKK na tawi lake la PYD  silaha wanazotumia ni slaha kutoka mataifa ya Magharibi kwa ushirikiano na idara za upelelezi zamtaia hayo.

 Baadhi ya mataifa ya Magharibi yanashirikiana na mataifa ya Mashariki ya Katika katika kile ambacho kinaonekana kuwa kinyume na demokrasia . Mataifa  kadhaa ya Mashariki ya Kati ynadhulumu raia wake.

Mgharibi imefumbia macho mwenendo uliokinyume na demokrasia.

Kwa upande wa Isreal ambayo inakiuka mikataba ya kimataifa na unyanyasaji dhidi ya wayahudi na wapalestina ambao kwa mtazamo wao wana msimamo wa wastani , jambo hilo halijadiliwi kama  ilivyo kulingana na hatuo ambyo tayari imekwishapigwa.

Tukiangalia kwa upande mmoja au mwingine tunaona kuwa uislamu  ambao unafahamishwa kuwa uislamu wenye  msimamo wa wastani  hauhusika katika kukabilana na ugaidi.  Malengo ya kupambana na ugaidi , imani na   mitazamo ambayo tayari kwa sasa ubepari  imekuwa na ugumu kufahamisha  hasa mtazamo  na kuchukuwa kauli moja kuhusu ugaidi. 

 Mataifa ya Magharibi yanaunga mkono Isreal pekee kidemokrasia huku mataifa mengine ya Mashariki ya Kati yakiendelea kuwepwa msaada wa kukandamiza uhuru.

Mauji ya Misri hadi leo hukana yeyote aliekemea wala jitihada za kutaka haki itendeke. 

Katika siku kadhaa kumeonekana suala zima la wanawake kuomba haki ya kuendesha gari kurwa lilikuwa na umuhimu mkubwa kuzungumziwa katika vyombo vya habari.

Kihistoria  uchaguzi wa mwaka 1876 ulikuwa uchguzi wa kihstoria kuliko katika mataifa ya Magharibi.

Uhuru wa kuchaguwa na kuchguliwa ulikuepo, wanawwake walikuwa na haki sawa na wanaume  kinyume na mataifa ya  Magharibi ambapo wanawake hawakuwa na haki.  Jambo la kushangaza  Uturuki imekuwa taifa ambalo hutupiwa lawama na tuhuma kila wakati. Kihistoria mwaka 1934 unafahamika kwa matokeo yake.

 

Daktari Kudret BÜLBÜL kutoka  katika chuo kikuu cha Ankara Yıldırım Beyazıt anatuletea tathmini ya kipindi chetuHabari Zinazohusiana