Uchambuzi wa Matukio

Uchambuzi wa kipindi chetu umefanywa na Can ACUN kutoka katika kitengo cha utafiti wa kisiasa, kiuchumi na kijamii SETA. Mwaka mmoja wa mzozo wa Ghuba na msimamo wa Uturuki

Uchambuzi wa Matukio

Mwaka mmoja umepita tangu kuanza kwa njama zilizokuwa zikiikabila Qatar. Kulikuwa na mpango mkubwa ambao lengo lake ilikuwa kichafua Qatar. Mpango huo  uliongozwa na Marekani kwa ushirikiano na Saudi Arabia . Muungano huo ulitangaza kuiwekea vikwazo Qatar. Vikwazo hivyo vilikuwa vimelenga uchumi, siasa na sekta nyingine .

Uchambuzi wa kipindi chetu umefanywa na Can ACUN kutoka katika kitengo cha utafiti wa kisiasa, kiuchumi na kijamii SETA.

Kama tutaangalia kwa kina na kutafakari , tutagundua kuwa   njama zilizoundwa dhidi ya Qatar ni mkutano uliofanyika nchini Saudi Arabia Mei 21 mwaka 2017. Mkutano huo ulifanyika mjini Riyadh wakati wa ziara ya kwanza ya rais wa Marekani Donald Trump nchini humo.

Baada ya Bin Selman na  Bin Zayed  kuona kuwa kuna ushirikiano na Marekani, walichukuwa uamuzi wao ambao uliituhumu Qatar. Mtazama o uliopelekea  uamuzi huo ni kwa Israel katika ukanda ilikuwa na  uhasama na maadui walioizunguka. Ushirikiano huo umechua uamuzi huo bila ya kujali ni kipi kinaweza kutokea.

Qatar ni kama Uturuki katika ukanda  kutokana na maendelea katika mataifa hayo. Qatar inaushawishi katika upashaji habari katika umoja wa mataifa ya kiarabu.  Qatar ni taifa ambalo kiuchumi linandelea kukuwa kila kukicha. Kama ilivyo Uturuki katika ukanda, nayo ina ushawishi. Hali hiyo inapelekea mataifa hayo kutazamwa kwa jicho hasi. Tukirudi nyuma  kwa kiasi cha mwaka mmoja tunaona kuwa  njama zilizokuwa zimeundwa dhidi ya Qatar hazikufua dafu.

Tunaona kuwa  vikwazo vilivyokuwa kitaka kuikabilia Qatar kuwa kwas asa vimegeukia katika  taifa  la Saudi Arabaia na Falme za kiarabu.

Uturuki ilikuwa pia ikilengwa kama Qatar

 Moja ya  pendekezo la kwa Qatar kufuatia tuhuma zizlizokuwa zizkiikabili, Qatar iliombwa  kufunga kambi ya jeshi la Uturuki na kufuta mikataba iliopo bain aya Uturuki na Qatar. Kutokana na  pendekezo tunafahamisha kuwa  kulingana na mtazamo wangu,  kulikuwa na sababu mbili kuhusu susla hilo. 

Kwanza kabisa Qatar ingekuwa taifda rahisi kushinikizwa na maamuzi yeyote ambayo yangechukuliwa , Qatar ingekuwa dhaifa kwa kupoteza ushirikiano wake wa kşjeshi  na Uturuki. 

Mataifa hayo yaliokuwa yakştaka Qatar kuwekewa vikwazo  yalitiwa hofu  kwa kuwa Qatar ilikuwa ikionekana kuzidi kuwa na nguvu kwa ushirikiano wake na Uturuki katika eneo la Ghuba. Mikataba ya kşjeshi iliokuwa imesainmiwa bain aya Qatar na Uturuki ilipendekezwa kufutwa.

Pili, uwepo wa kijeshi na kisiasa wa Uturuki katika ukanda  umeonekana kuwa kama tishio  kwa siasa za Mohammed wawili na Israel.  Mwishowake kabisa walikuwa na mpango wa kşjeografia ambao   ungekuwa kuanzia Palestina  hadi Qatar kama wanavyotaka  kuondoa  na kudhoofisha  yeyeote yule atakae  jaribu kwendo kşnyume na matakwa yao.  Uturuki na Qatar vimetupilia mbali maombi na kuendelea na ushirikiano wao wa kijeshi.  Siasa za Uturuki zimekuwa na ushawishi mkubwa na kuplekea  njama zilizokuwa zikiikabilia Qatar kutofua dafu.

Uturuki imefahamisha kuwa  , Falme za  kiarabu na Saudi Arabia zilikuwa zimelenga pia  Uturuki kwa kuwa vipengele kadhaa viliashiria hali hiyo.

Barau pepe ya balozi wa Falme za kiarabu  Yusef al Otaiba  inaonesha wazi  harakati za Falme za kiarabu  dhidi ya maslahi ya Uturuki. Falme za kiarabu  imeonekana kuwa na ushirikiano na Israel  na kuensha mwenendo  usioridhisha na Uturuki. Vile mwenendo huo umeonekana kuwa  katika ukanda kuanzia Libya, Somalia  hadi nchini Syria.

Uturuki haifanyi kama uongozi wa Falme za kiarabu zinavyofanya kwa kununua  watu kwa kutoa rushwa na kuunga mkono baadhi ya  makundi ya kigaidi, bali  kwa  matokeo kama nchini Somalia.

Uturuki ni taifa linajukumu muhimu katika ukanda  kwa mchango wake pia  kijeshi na kisiasa katika ukanda. Nchini Irak na Syria, Uturuki imechangia kwa kiasi kikubwa  kuhakikisha kuwa amani na utulivu vinarejea. Uturuki imezidisha uwepo wake na kuhakikisha kuwa  amani katika ukanda inarejea. 

Uturuki ni taifa ambalo linaonekana kutetea maslahi na haki kwa mataifa ya kiislamu na katika ukanda kama inavyofanya katika suala zima la mji wa Yerusalemu.

Uchambuzi wa kipindi chetu umefanywa na Can ACUN kutoka katika kitengo cha utafiti wa kisiasa, kiuchumi na kijamii SETA.Habari Zinazohusiana