Iran yasema kuwa ipo tayari kudhatiti madini yake ya Uranium

Mkurugenzi wa kitengo cha  nishati ya  nyuklia wa Iran asema kuwa Iran ipo tayari kudhatiti madini yake ya uranium

Iran yasema kuwa ipo tayari kudhatiti madini yake ya Uranium

Mkurugenzi wa kitengo cha mishati ya nyuklia nchini Iran amesema kuwa mpango wa kudhatiti  madini yake ya nyuklia upo tayari.Kwa mujibu wa taarifa  zilizotolewana jarida la Mehr nchini Iran ni kwamba, Ali Alkbar, mkurugenzi wa kitengo cha nishati ya nyuklia  amewafahamisha wabunge  wa tume ya teknolojia kuwa  mpango wa kudhatiti madini ya uranium na kuifanya kuwa imara zaidi umekwisha malizika. 

Taarifa zizmeendelea kusema kuwa, utafiti na maandalizi wa kuhakikisha kuwa  uranium  katika nishati ya nyuklia yenye nguvu tayari umemalizika.

Ali Akbar amesema  kuwa  Iran inaendelea na mpango wake wa nishati ya nyuklia kama ilivyosainiwa katika makubaliano ya mwaka 2015. Iran imefahamisha kuwa  hakuna tatizololote  kwa kuwa uranium hiyo itatumiwa katika  biashara na kuheshimu makubaliano.

 Habari Zinazohusiana