Wapalestina wapaongeza uamuzi wa kishujaa wa rais Erdoğan

Wapalestina wapongeza uamuzi wa kishujaa wa rais wa Uturuki Recep Tayyıp Erdoğan

Wapalestina wapaongeza uamuzi wa kishujaa wa rais Erdoğan

Wapalestina wampongeza rais wa Uturuki Recep Tayyıp Erdoğan kwa juhudi zake za kishujaa katika mzozo wa Mashariki ya Kati.

Kitengo cha kisiasa katika uwakilishi wa  mamlaka ya wapalestina Colombia chini ya Uongozi wa Carlos Montero  amesema kuwa  wapalestina  wanapongeza  uamuzi na juhudi za rais wa Uturuki Recep Tayyıp Erdoğan katika kutafuta suluhu la mzozo wa Mashariki ya Kati.

Wapalestina wanafahamisha kuwa uamuzi wa rais wa Uturuki ni wa kishujaa na unastahili kupongezwa.

Kwa mujibu wa Montero, Uturuki ipo pamoja na Palestina bega kwa bega katika wakati wa shida na wakati wa raha na ushirikiano huwa ukiongezeka wakatika wa matukio yanayohitaji ushirikiano .

Carlos Montero amefahamisha kuwa  Uturuki inaongoza   katika kupigani haki za wapalestina kushinda mataifa  ya kiarabu.

Carlos amekumbusha mataifa ayanayounga mkono Palestina kwama Afrika Kusini, Irland, Urusi, China , Brazil, Chili, Bolivia, Uruguay na Mexico  ni taifa ambayo yalionesha msimamo  kuhusu suala zima la Palestina.

 Habari Zinazohusiana