Rais Erdoğan na Maduro wajadili uhusiano wa mataifa

Rais wa Uturuki,Recep Tayyip Erdoğan amezungumza na mwenzake wa Venezuela Nicolas Maduro kuhusu mahusiano kati ya mataifa hayo mawili.

Rais Erdoğan na Maduro wajadili uhusiano wa mataifa

Rais wa Uturuki,Recep Tayyip Erdoğan amezungumza na mwenzake wa Venezuela Nicolas Maduro kuhusu mahusiano kati ya mataifa hayo mawili.

Viongozi hao wawili wamefanya mazungumzo ya simu wakijadili uhusiano kati ya Uturuki na Venezuela na vilevile masuala mengine ya kanda.

Waziri wa mambo ya nje wa Uturuki Mevlüt Çavuşoğlu nae alishiriki katika mazungumzo hayo.Habari Zinazohusiana