Putin na Assad wakutana Sochi

Rais wa Urusi Vladimir Putin amekutana na rais wa Syria Bashar al-Assad katika mji wa Sochi nchini Urusi.

Putin na Assad wakutana Sochi

Rais wa Urusi Vladimir Putin amekutana na rais wa Syria Bashar al-Assad katika mji wa Sochi nchini Urusi.

Viongozi hao wawili wamezungumzia maendeleo ya mazungumzo ya Astana na vilevile.

Kulingana na ripoti zilizotolewa na Kremlin ni kwamba Assad na Putin wamejadili umuhimu wa kuwezesha "mchakato kamili wa kisiasa ".

Putin anaamini kuwa ni hatua kubwa imepigwa katika mazungumzo ya Astana.

Mkutano ujao kati  ya Iran,Uturuki na Urusi unatarajia kufanyika Sochi,Julai 2018.


Tagi: mkutano , Assad , Putin

Habari Zinazohusiana