Pompeo afanya mazungumzo na rais wa Afghanistan

Waziri wa mambo ya nje wa Marekani amefanya amejadili mkakatai wa Marekani kuhusu Asia Kusini na rais wa Afghanistan Ashraf  Ghani

Pompeo afanya mazungumzo na rais wa Afghanistan

Waziri wa mambo ya nje wa Marekani amefanya amejadili mkakatai wa Marekani kuhusu Asia Kusini na rais wa Afghanistan Ashraf  Ghani.

Viongozi hao wawili wamefanya mazungumzo ya simu ambapo waziri huyo amegusia tamko la rais Trump kuhusu kutoka msaada  kwa jeshi la Afghanistan.

Pompeo na Ghani pia walijadili mahusiano kati ya Marekani na Afghanistan.

"Mchakato wa amani nchini Afghanistan ni kati ya mambo ninayoyaunga mkono",alisema Pompeo.

Mnamo 12 Mei watu 30 waliripotiwa kupoteza maisha katika shambulizi lililofanywa na kundi la Taliban Farah.

Hata  hivyo operesheni dhidi ya magaidi hao ilifanywa na kupelekea vifo vya magaidi 200. Habari Zinazohusiana