Mauzo ya silaha yaongezeka nchini Urusi

Mauzo ya nje ya silaha nchini Urusi yameonekana kuongezeka kwa asilimia 2.3 ukilinganisha na ilivyokuwa mwaka 2016.

Mauzo ya silaha yaongezeka nchini Urusi

Mauzo ya nje ya silaha nchini Urusi yameonekana kuongezeka kwa asilimia 2.3 ukilinganisha na ilivyokuwa mwaka 2016.

Mtendaji Mkuu wa kampuni ya ulinzi ya serikali ya Urusi Sergey Cemezov amesema kuwa mauzo ya silaha yamefikia dola za kimarekani 13.4 mwaka 2017.

Licha ya vikwazo,idadi ya mauzo imeongezeka kwa asilimia 2.3 ikilinganishwa na ilivyokuwa mwaka 2016

Kulingana na Cemezov,faida ya kampuni hiyo ya Rosteh imeongezeka kwa asilimia 38 (karibu dola bilioni 2) ikilinganishwa na ilivyokuwa mwisho mwa 2017.

Kulingana na ripoti ilyochapishwa na Taasisi ya Kimataifa ya Utafiti (SIPRI),Urusi ambayo imefikia asilimia 20 ya mauzo ya silaha duniani imekuwa ni nchi ya pili kuna na mauzo makubwa ya silaha nje ya nchi.

Marekani imeshika nafasi ya kwanza.

 

 


Tagi: silaha , mauzo , Urusi

Habari Zinazohusiana