Macron alaani mashambulizi Ukanda wa Gaza

Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron amelaani vikali mashambulizi yaliyofanywa na jeshi la Israel dhidi wa Wapalestina Gaza.

Macron alaani mashambulizi Ukanda wa Gaza

Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron amelaani vikali mashambulizi yaliyofanywa na jeshi la Israel dhidi wa Wapalestina Gaza.

Kwa mujibu wa habari,Macron amesema kuwa Ufaransa haikubaliani hata kidogo na mashambulizi hayo hasa yale yaliyofanywa siku ya ufungzui wa ubalozi wa Marekani mjini Jerusalem.

Ufaransa pia imeitisha maandamano ya amani kupinga mauaji hayo yanayofanywa na serikali ya Israel.

Maelfu wa Wapalestina walijikusanya katika mpaka wa Gaza wakipinga maadhimisho ya 70 ya kuundwa kwa taifa la Israel.

Siku hiyohiyo Marekani ilikuwa ikifungua ubalozi wake wa Israel mjini Jerusalem,baaada ya kuuhamisha kutoka Tel Aviv.Habari Zinazohusiana