Rais Erdoğan azungumza kwa njia ya simu na kiongozi wa kanisa Katoliki ulimwenguni

Rais  wa Uturuki Recep Tayyıp Erdoğan azungumza kwa njia ya simu na kiongozi wa kanisa katoliki ulimwenguni Papap Francis

Rais Erdoğan azungumza kwa njia ya simu na kiongozi wa kanisa Katoliki ulimwenguni

Rais wa Uturuki Recep Tayyıp Erdoğan azungumza kwa njia ya simu na kiongozi wa kanisa Katoliki ulimwenguni.
Rais  wa Uturuki Recep Tayyıp Erdoğan azungumza kwa njia ya simu na kiongozi wa kanisa katoliki ulimwenguni Papap Francis  kuhuru hali inayoendelea latika maeneo ya wapalestina
Rais Erdoğan amezungumza na Papa Francis kuhusu kuhusu mauaji ya jeshi la Israel Ukanda wa Gaza katika maandamano.
jiji la Yerusalemu  kitovu za imani kubwa tatu ulimwenguzi hivyo kuna umuhimu mkubwa amani kudumisha katika mji huo kama inavyoamrisha na imani zote tatu. Taarifa  zimefahamisha kuwa  viongozi hao wamezungumzia  ghasia na mauaji ya wapalestina waliokuwa wakiandamana kupinga ufunguzi wa ubalozi wa Marekani mjini Yerusalemu na kuzuiliwa kwa  wapalestina kurejea katika makaazi yao walifukuzwa na Israel.

Papa Francis na rais wa Uturuki wamesema kuwa ukiukwaji wa sheria na makubaliano ya kimataifa kuhusu Yerusalemu ni jambo lisilokubalika.

 

 

 Habari Zinazohusiana